Huyo dada amewauliza mbona mnatoa vichwa?..wamemjibu ungetuuliza kabla hatuja paa tungekuuliza
tunakwenda wapi..kwakua ndio kwanza unatuuliza tukiwa juu wewe tuambie tutafika saangapi?..dada wa watu kwa mchecheto kaidondosha ndege...ila hakuna alie umia..wote wapo hospital. waandishi wa habari wamezunguuka ili aeleze ilikuakuaje amesema ataongea baadae hayo machache alioongea kwasasa yanatosha maana anaogopa jinsi ya kusema.
No comments:
Post a Comment