Rais Jakaya Kikwete akitazama mkungu wa ndizi uliozalishwa katika shamba la mkulima wilayani Kasulu katika mkoa wa Kigoma wakati wa maonesho yaliyofanyika mjini Mpanda sambamba na kongamano la uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika.(Picha na Freddy Maro). |
No comments:
Post a Comment