na wadau nyuma wakiendeleza umoja
Wakubwa zetu wakiwa tayari kabisa,big up watu wangu
Wadau wakiwa na majonzi nnje ya kanisa, samahani saana kwa kutowatajeni majina ila wote nawajua
Jeneza likitoka kanisani,jioneemwenyewe jinsi umoja unavyo endelezwa,
Kwa umakini kabisa wakisikiliza maelezo ya mwisho mwisho,ili safari ianze kuelekea makabulini
Wadau dakika za mwisho nnje ya kanisa wakiliangalia gari ilio beba jeneza kwa huzuni likielekea makaburini mwingine akishindwa kujizuia kama anavyo onekana
Gari ilio beba jeneza lilipo wasili makabulini
Mchungaji G Kumi, mwenye shati la njano akisema
maneno ya mungu kabla ya jeneza kushushwa
Bro Midi, mkono kwa mkono na wadau
Kwa yoyote yule aliekaa International Hotel, basi lazima utakua unamjua huyu mama, hapa akimwaga neno la mungu mbele ya mchungaji G Kumi
Wadau sina chakusema, zaidi ya umoja ni nguvu
Wadau
Kila mtu alihuzunika
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Mdau akichukua kumbu kumbu
Wadau wakimsikiliza, mchungaji G kumi akimwaga neno la mungu
Wadau wakiweka mauwa juu ya kabuli
Baada ya kumaliza salama makabulini, (M T) wakwanza kulia akiwasili nyumbani kwa Bro Midi na mashoga zake
Wakubwa wakiwa na mdau
Wakubwa zangu nadhani tumemaliza salama?.. mdau akiuliza
Wadau baada ya mazishi
Wadau kwa yoyote yule, ambae alikua hamjui marehemu hii hapa picha yake...kutoka kushoto ni (1) papaya (2) marehemu Kaka (3) dogo Paul (4) Majiga
Wadau kwanza niwashukulu wote. kwa umoja tuliouonyesha toka mwanzo hadi mwisho..kwakweli tulikua katika wakati mgumu lakini kwa uwezo wa mungu tumefanikisha lile tulilotakiwa tulifanye, wazee wetu walisema UMOJA ni NGUVU.
mungu amlaze marehemu mahala pema peponi amini
No comments:
Post a Comment