PATA HABARI MOTO MOTO, ZA KITAIFA NA KIMATAIFA KUPITIA HAPA, TUPE MAWAZO YAKO TUYAFANYIE KAZI, TUPE HABARI ZOZOTE ULIZO NAZO TUTAZIWEKA HAPA,KWA MWENYE PARTY AINA YOYOTE INAYOHUSIANA NA MAMBO YA MUSIC, TAFADHARI ONGEA NA PAPAYA KUPITIA NAMBA HII..07501 202029..YUPO MACHO 24/7 BEI MAELEWANO.

Sunday, 18 September 2011

DUME ZIMA KUMBE KISAMBALATISHA

Angalizo kwa wadau..Mr K, inamaanisha kisambalatisha, na Mr B inamaana ya Mr Bwege la kuamini kila kitu.

Mr k mambo vipi ndugu yangu? naona huonekani siku hizi. eheee kabla ya yote vipi ww na na shemeji kunatatizo lolote maana mambo anayo ya fanya siyapendi kabisa. juzijuzi tu nimekutana nae town maeneo ya tesco ndogo karibu na nandos. nimemuuliza shemeji vipi mbona mwendo kasi...akanijibu naomba uniache kama nilivyo ninahalaka zangu..sindio nikaamua kufuatilia kwa nyuma maana nilikua na wasiwasi asijekupatwa na matatizo..mojakwa moja train station kashuka ngazi kaingia kwenye train na mm nikaingia imenicost lakini nikaona sitatizo, yeye hajui kama nipo ndani..amefika anaposhuka ametoka nnje naangalia hivi ndugu yangu sikuamini macho yangu.Rolls-royce phantom. sasa nimejiuliza maswali mengi sikupata jibu kabisa maana sijawahi kukuona na gari kama ile kwahiyo afadhari unambie leo kama kweli umenunua gari kama ile bila kunambia ndugu yako?.


Mr Bwege afadhari ndugu yangu kwa kunitoa usingizini. kwanza nikulipe pesa yako ya nauli uliyotumia maana da bila ya ww sijui ingekua vipi..bei gani umetumia Mr K....£66 siunajua Leicester to Brighton..sasa minaona uachane nae au ww unaonaje...Mr Bwege hilo halina mjadala...kunasiku kasema neno limenikela....eti anajuta kunijua...tukilala ananipa mgongo nikimuuliza mbona huongei anajifanya anakoloma.


Message kwa wadau: Tuwe makini tunapochukua maamuzi
Huyu mr k, katunga uongo unao fanana na ukweli
Nae mr bwege kachukulia aliyo ambiwa yote kama ni kweli
pasipo kufanya japo uchunguzi kidogo
ama kweli mjinga ndio aliwae, £66 zimeliwa pasipo na sababu
ya msingi amempoteza wake wa ubani kibwege bwege kabisa.

No comments:

Post a Comment