Friday, 16 September 2011

MESSAGE YA LEO TOKA KWA, PAPAYA

USIKATE TAMAA IPO SIKU YAKO.
USIMUOGOPE ADUI WAKO.
USILE NA MTU MCHOYO.
ULINDE KISAWASAWA UTU WAKO.
USIJALI KWA WASEMAYO KWAKO.
USIKULUPUKE KWENYE MAAMUZI YAKO.

No comments:

Post a Comment